#Football #Sports

AKONNOR ATAKA KIKOSI CHA GOR KUJITUMA ZAIDI

Kocha wa Gor Mahia Charles Akonnor anaamini kuwa kichapo cha timu yake cha mabao 2-0 dhidi ya Rayon Sports ya Rwanda ni funzo kubwa kwa timu yake kulekea msimu mpya wa ligi.

Kocha huyo Raia wa Ghana amesema kichapo hicho kimempa mtazamo zaidi katika maeneo yanayostahili kuimariswa kikosini wakati Gor Ikijiandaa kutetea taji la ligi kuu humu nchini pamoja na mashindano ya klabu bingwa barani Afrika.

Akonnor amesema kuwa mchezo huo sio taswira kamili ya jinsi kikosi chake kitakavyokuwa msimu ukiendelea.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *