HAKIMU WA KANGEMA ASIMAMISHWA KAZI KWA MADAI YA HONGO

Hakimu wa mahakama ya Kangema, Martin Kinyua, amesimamishwa kutekeleza majukumu yake ya kimahakama baada ya kukamatwa na Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kwa tuhuma za kuomba na kupokea hongo. Kinyua alikamatwa pamoja na Julius Irungu, huku wawili hao wakidaiwa kuomba shilingi 170,000 kutoka kwa mfanyabiashara wa Murang’a aliyekuwa amepatikana na hatia ya […]