#Football #Sports

UHISPANIA WASHINDA KOMBE LA DUNIA, NDOTO YA MESSI YAZIMA.

Lionel Messi aliwacha akiwa na huzuni na majonzi kufuatia ushindi wa Uhispania wa 1-0 katika fainali ya Kombe la Dunia.

Messi, ambaye sasa ana umri wa miaka 39, aliwavuta mabingwa hao hadi fainali nyingine, akifunga mabao manane na pia kutoa pasi mbili za mabao katika mchezo wa mwisho dhidi ya Uingereza katika nusu fainali.

Bao La Ferran Torres katika muda wa nyongeza lilizima ndoto ya Messi na kusaidi Uhispania kutwaa taji hilo kwa mara ya pili.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *