#Local News

MABADILIKO YA TABIA NCHI YAATHIRI ELIMU YA WATOTO BARANI AFRIKA

Watoto milioni mia moja kumi na nane hawaendi shuleni kutokana na migogoro na dharura za mabadiliko ya tabia nchi katika bara la Afrika.

Waziri mkuu wa mawaziri Musalia mudavadi amesema kando na watoto hao mamilioni ya watu wamelazimika kuhama makazi yao kutokana na changamoto za usalama katika mataifa ya bara hili.

Mudavadi amerai taasisi za kidini zikiongozwa na kanisa kuwa mustari wa mbele kutetea ulindaji wa haki za kibinadamu katikati ya migogoro hii.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *