HAKIMU WA KANGEMA ASIMAMISHWA KAZI KWA MADAI YA HONGO
Hakimu wa mahakama ya Kangema, Martin Kinyua, amesimamishwa kutekeleza majukumu yake ya kimahakama baada ya kukamatwa na Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kwa tuhuma za kuomba na kupokea hongo. Kinyua alikamatwa pamoja na Julius Irungu, huku wawili hao wakidaiwa kuomba shilingi 170,000 kutoka kwa mfanyabiashara wa Murang’a aliyekuwa amepatikana na hatia ya […]
English 





























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































