#Rugby #Sports

AMONDE ANAAMINI KCB WATATEA TAJI LAO KWENYE PRINSLOO SEVENS

Kocha wa KCB RFC Andrew Amonde anaamini kuwa mkakati wa kiufundi, ukubwa wa kikosi na maandalizi mazuri yatakuwa muhimu wakati timu hiyo itatetea taji lake la Sportpesa Sevens Circuit katika mashindano ya Prinsloo Sevens mjini Kisumu yatayoanza wikendi hii.

KCB ipo katika kundi C pamoja na Catholic University Monks na Kikosi cha NYS huku Amonde Akionyesha matumaini yake kuwa kikosi chake kimefanya maandalizi mazuri kuelekea mashindano hayo.

Kocha ana imani kuwa kikosi chake kitaonyesha mchezo mzuri na kutetea taji lao.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *