#Local News

WABUNGE WA MERU WAMTAKA RAIS KUANGAZIA MAENDELEO MERU

Wabunge wa maeneo bunge ya Meru  wamemtaka Rais William Ruto kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika eneo hilo, wakisema wananchi wanatarajia kuona matokeo ya ahadi zilizotolewa na serikali.

Wakizungumza hii leo wabunge hao wamesema ni muhimu serikali kuu kuimarisha uwekezaji katika sekta muhimu kama miundombinu, afya, elimu na kilimo ili kuboresha maisha ya wakazi wa Meru.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *