#Local News

MMOJA WA MASHAHIDI AZUNGUMZA KUUWAWA KWA ALBERT OJWANG

Mmoja wa mashahidi katika kesi ya marahemu  Albert Ojwang mwanaume aliyedaiwa kuuwawa kwenye seli ya kituo cha polisi cha Nairobi Central ameiambia mahakama ya Kibra  kuwa aliagizwa kufuta picha za kamera za CCTV zilizorekodi matukio ya tarehe 6 na tarehe 7 Juni mwaka wa 2025.

Akitoa ushahidi katika  kesi ya kifo cha Ojwang shahidi huyo amesema aliwaelekeza waliohusika kuwa haingewezekana  kufuta rekodi za siku hizo pekee badala yake aliamua kuifuta data yote kwenye hifadhi data yaani hard disk iliyokuwa imehifadhi data hizo.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *