#Local News

RUTO ATANGAZA KUFADHILI MASOMO YA VYUO VIKUU NA VYA KATI

Rais William Ruto ametangaza kuwa wanafunzi wote watakao faulu katika mitihani ya kidato cha nne yaani KCSE na kupata nafasi katika yvuo vikuu na vyuo vya kati sasa watapata ufadhili kamili wa serikali  katika kufadhili masomo yao.

Akizungumza katika ikulu ya Nairobi Rais Ruto amesema sera hiyo mpya itaanza kutekelezwa septemba mwaka huu baada ya bunge kupitisha mswada mpya wa mfumo mpya wa ufadhili wa elimu ya juu.

Rais  amesema ufadhili huo utatolewa kwa wanafunzi wote wanaokidhi  vigezo vya kujiunga na yvuo na vya kati bila kujali hali yao ya kifedha akishikilia kuwa wazazi na walezi watakao kuwa na uwezo wa kufadhili wanao watafanya hivyo kwa hiari.   

Imetayarishwa na Hilda Ajema

RUTO ATANGAZA KUFADHILI MASOMO YA VYUO VIKUU NA VYA KATI

SETH PANYAKO AREJEA UDA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *