SETH PANYAKO AREJEA UDA
Wafuasi wa katibu mkuu wa muungano wa wauguzi nchini Seth Panyako ameunga mkono maridhiano yake na Rais William Ruto .
Hatua hiyo imefuatia kauli ya Seth Panyako kwamba amerejea katika chama cha UDA na kwambva atawania wadhfa wa ubunge wa malava katika chama cha UDA kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Ikumbukwe kwamba Panyako aliwahi wania nafasi hiyo katika uchaguzi mdogo wa mwaka uliopita kwa chama cha DAPK alishindwa na David Ndakwa wa UDA.
Imetayarishwa na Hilda Ajema
English 































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































