#Local News

KINDIKI ATAO HAKIKISHO LA SERIKALI KUKABILIANA NA MVUA ZA EL NINO

Naibu Rais Kithure Kindiki amesema serikali imeweka mikakati ya kukabiliana na athari za ukame pamoja na mvua kubwa za El Niño zinazotarajiwa kunyesha katika msimu ujao.

Kindiki amesema serikali imeanza maandalizi ya kuhakikisha wananchi wanaathiriwa kwa kiwango kidogo na majanga yanayoweza kusababishwa na ukame au mafuriko.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *