#Local News

BAADHI YA VIONGOZI WANAWAKE WA TESO SOUTH WASIFIA RAIS RUTO

Viongozi 20 wa kike wanaomuunga mkono Rais William Ruto, wakiongozwa na Mbunge wa Teso South Mary Emaase, wamepongeza utendaji wa Rais wakisema serikali yake imefanikisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika kipindi cha miaka minne iliyopita.

Viongozi hao wamesema miradi hiyo imechangia kuboresha huduma kwa wananchi katika sekta mbalimbali na kuhimiza Wakenya kuendelea kuunga mkono ajenda ya maendeleo ya serikali.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

BAADHI YA VIONGOZI WANAWAKE WA TESO SOUTH WASIFIA RAIS RUTO

SETH PANYAKO AREJEA UDA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *