#Local News

MWANAMKE AUAWA, WATATU WAAJERUHIWA BARINGO

Uchunguzi umeanzishwa baada ya mwanamke wa makamo kuawa na watu wengine watatu kujeruhiwa baada ya msafara kuvamiwa na majambazi katika eneo la Moinonin, Kaunti ya Baringo.

mkuu wa polisi, wa Loruk, Edward Serem, amethibitisha kuwa majambazi wamefyatua risasi licha ya msafara huo kusindikizwa na polisi.

Tukio hili linajiri chini ya wiki moja baada ya watu wawili kuuawa kwenye barabara hiyo hiyo huku wakazi wakilalamikia kuongezeka kwa ukosefu wa usalama katika eneo hilo.

Imetayarishwa na Janice Marete

MWANAMKE AUAWA, WATATU WAAJERUHIWA BARINGO

“WAZIRI AWEKWE DARASANI”

MWANAMKE AUAWA, WATATU WAAJERUHIWA BARINGO

WAHALIFU MARALAL KUKABILIWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *