#Sports

NYAOKE APIGIA UPATO KIKOSI CHAKE KUSHINDA TAJI LA CECAF

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kenya soka la walemavu kwa wanawake Sharon Nyaoke anasadiki kwamba wachezaji wake wanaweza kushinda taji la CECAAF litakaloandaliwa mjini Bujumbura, Burundi mwezi Septemba.

Timu hiyo itashiriki CECAAF kwa mara ya kwanza na wamedhamiria kuwabwaga wapinzani wao, baada ya kuibuka wanne katika Kombe la Dunia mwaka jana nyuma ya mabingwa na wenyeji Colombia, Marekani na Poland.

Nyaoke hata hivyo anataka uungwaji mkono zaidi kutoka kwa serikali wanapojiandaa kwa mashindano hayo.

Imetayrishwa na Nelson Andati

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *