#Local News

IPOA: 65 WALIUAWA KWENYE MAANDAMANO

Watu 65 waliuawa kutokana na maandamano yaliyoshudiwa katika miezi ya Juni na Julai mwaka huu pekee.

Haya ni kwa mujibu wa ripoti ya mamlaka ya kutathmini utendakazi wa polisi IPOA, ambayo pia imewalaumu polisi kwa madai ya kutumia nguvu kupita kiasi.

Miongoni mwa walioangamia ni Victor Otieno kutoka Bungoma, mwanafunzi aliyepigwa risasi katika eneo la Juja ambaye familia yake imeilaumu IPOA kwa misingi ya kujikokota katika uchunguzi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

IPOA: 65 WALIUAWA KWENYE MAANDAMANO

NA BADO, DPP INGONGA ASEMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *