#Local News

MASWALI KUHUSU KIFO CHA JIRONGO

Familia ya mfanyabiashara na mwanasiasa tajika Cyrus Jirongo, imeshinikiza majibu kuhusu utata unaozingira kifo cha mfanyabiashara huyo kwenye ajali siku ya Ijumaa usiku, polisi wakisema Jirongo alikuwa akielekea Nairobi kwenye gari lake wakati wa ajali hiyo.

Hata hivyo, kulingana na mwenyekiti wa kamati ya mipango ya mazishi Fred Gumo na aliyekuwa seneta wa Vihiga George Khaniri, Jirongo alikuwa katika eneo la Karen majira ya saa 5 usiku, kabla ya ajali yake kuripotiwa takribani dakika 30 baadaye eneo la Naivasha.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MASWALI KUHUSU KIFO CHA JIRONGO

PVK YAKOSOA SERA TATA YA MAKANISA

MASWALI KUHUSU KIFO CHA JIRONGO

KCB YAKATA NYORORO ZA PRISONS

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *