#International

TRUMP: NITAIENDESHA VENEZUELA

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa serikali yake itamwelekeza kikamilifu cha kufanya kiongozi wa muda wa Venezuela Delcy Rodriguez, ukiwemo uuzaji wa mafuta kwa muda usiojulikana baada ya kumbandua Nicolas Maduro.

Kauli ya Trump inajiri huku Delcy akina kwamba hakuna utawala wan je unaoeindesha Venezuela

Hata hivyo, Trump amesema Marekani italiendesha taifa hilo la Marekani Kusini lenmye utajiri mkubwa wa mafuta duniani.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

TRUMP: NITAIENDESHA VENEZUELA

WANAFUNZI TRANS MARA SOUTH SHULENI

TRUMP: NITAIENDESHA VENEZUELA

LEOPARDS WAREJEA UONGOZINI KPL

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *