UBOMOAJI MUKURU WAATHIRI WAKAAZI
Mamia ya wakaazi wa Mukuru kwa njenga eneo la Embakasi Kusini wameachwa bila makao baada ya ubomoaji wa makaazi wa eneo hilo katika kile kilchotajwa kuwa ni sehemu ya upanuzi wa barabara.
Wakaazi hao waligadhabishwa na hatua hiyo huku Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja akijitenga na shughuli hiyo akisema Serikali ya kaunti haikutoa amri ya ubomoaji huo.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































