#Local News

NDINDI NYORO ATAKA ELIMU YA SEKONDARI IWE BURE KIKAMILIFU

Mbunge wa Kiharu, Ndindi Nyoro, ametoa wito wa kutekelezwa mara moja kwa elimu ya sekondari bure kikamilifu nchini Kenya, akisema kuwa elimu inapaswa kulindwa dhidi ya ushawishi wa kisiasa.

Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara, Nyoro alipendekeza kuanzishwa kwa hazina ya kitaifa ya elimu ya sekondari itakayofadhili shule za kutwa pamoja na chakula cha wanafunzi kote nchini.

Mbunge huyo amesema kuwa takriban shilingi bilioni kumi na tano kwa mwaka zinatosha kuhakikisha elimu ya sekondari inakuwa bure kikamilifu.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

NDINDI NYORO ATAKA ELIMU YA SEKONDARI IWE BURE KIKAMILIFU

JSC YATEUA WAGOMBEA 15 WA MAJAJI WA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *