#Local News

RUTO ASIFIA CHAMA CHA UDA

Rais William Ruto amesema chama cha uda kinajiimarisha kuhakikisha kinapata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.

 Ruto amesema kuwa ushirikiano wa chama cha UDA na ule wa odm kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027 unalenga kuzoa ushindi wa kura milioni tatu dhidi ya wapinzani wa mrengo huo.

Aidha Rais ametangaza kwamba uchaguzi wa chama hicho utaendelezwa tarehe 7 na tarehe 28 mwezi machi kwa lengo la kuimarisha ubabe wa chama kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

Imetayarishwa na Jones Koikai

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *