ELLIOTT AKWAMA ASTON VILLA
Kiungo wa Liverpool Harvey Elliott anakabiliwa na mwisho mgumu wa msimu akiwa Aston Villa baada ya klabu yake kukataa kusamehe ada ya kusitisha mkopo. Hatua hiyo ingezuia kifungu cha uhamisho wa lazima cha pauni milioni 35.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 amekuwa nje ya mipango ya kocha Unai Emery ili kuepuka kifungu hicho, na kwa kukosekana makubaliano kabla ya tarehe ya mwisho, sasa atalazimika kusubiri hadi msimu wa kiangazi bila uhakika wa kucheza.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 






























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































