#Local News

OMOLLO AONYA VIONGOZI DHIDI YA KUCHOCHEA GHASIA MIGORI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Usalama wa Ndani, Raymond Omollo, ameonya viongozi wa kisiasa katika Kaunti ya Migori na maeneo mengine nchini dhidi ya kuwatumia vijana kuchochea ghasia.

Akizungumza katika eneo la Suna Magharibi Omollo amesema serikali haitaruhusu wanasiasa kutumia vurugu kuwatisha wapinzani au kuvuruga shughuli za kisiasa.

Omollo aidha amewataka viongozi wa Migori kukumbatia siasa za amani, akionya kuwa kaunti hiyo haipaswi kurudishwa katika migogoro kama ilivyoshuhudiwa wiki za karibuni.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

OMOLLO AONYA VIONGOZI DHIDI YA KUCHOCHEA GHASIA MIGORI

GAVANA WAMATANGI AFIKA MBELE YA KAMATI YA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *