UCL: TUDOR ASEMA SPURS WANA UWEZO WA REMONTADA
Kocha wa Tottenham Hotspurs Igor Tudor amesema timu yak eina uwezo wa kubadilisha matokeo wakati wakivaana na Atletico Madrid usiku wa leo kwenye michuano ya klabu bingwa barani ulaya. Spurs walibamizwa mabao 5-2 na Atletico kwenye mechi ya mkondo wa kwanza.
Katika Michuano mingine, Barcelona watakua uwanjani camp nou kuvaana na Newcastle United mwendo wa saa tatu kasorobo huku Liverpool walio chini ya shinikizo kubwa ya kupata matokeo mazuri wakiwa uwanjani Anfield kuwakaribisha Galatasary na Kisha Bayern Munich ambao wanakosa huduma za makipa wao wa timu ya kwanza wakivaana na Atalanta ya Italia.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































