#Local News

SIFUNA ABADILISHA WIMBO ASEMA HAWEZI KUWA ‘SG’ WA ODM

Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna sasa ameonekana kubadilisha maneno yake na kusema kuwa hawezi kuwa katibu mkuu wa chama hicho kwa sasa.

Kauli ya Sifuna inakuja siku moja baada ya mahakama kutupilia mbali kesi yake ya kutolewa kama Katibu mkuu wa Chama hicho na kutaka suluhu la ndani ya chama.

Sifuna sasa ameonekana kuwachilia nafasi hiyo wakati wa mkutano wa Kundi la Linda Mwananchi katika ukumbi wa Ufungamano.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

SIFUNA ABADILISHA WIMBO ASEMA HAWEZI KUWA ‘SG’ WA ODM

OSAMA AHAMIA KLABU YA SWEDEN

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *