#Local News

SETH PANYAKO AREJEA UDA

Wafuasi wa katibu mkuu wa muungano wa wauguzi nchini Seth Panyako ameunga mkono maridhiano yake na Rais William Ruto .

Hatua hiyo imefuatia kauli ya Seth Panyako kwamba amerejea katika chama cha UDA na kwambva atawania wadhfa wa ubunge wa malava katika chama cha UDA kwenye  uchaguzi mkuu ujao.

Ikumbukwe kwamba Panyako aliwahi  wania nafasi hiyo katika uchaguzi mdogo wa mwaka uliopita kwa chama cha DAPK alishindwa na David Ndakwa wa UDA.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *