#Local News

MWANAMUME AKAMATWA KWA UHARIBIFU WA MAGARI KIAMBU

Mwanaumme mmoja anayedaiwa kuvunja nyumba eneo la kiamumbi kaunti ya Kiambu na kuharibu magari kisha kuiba vipuri vyake amekamatwa.

Kwa mujibu wa polisi mshukiwa kwa jina Francis Ndichu Kimani maarufu Ndich  amepatikana akipanda ukuta wa nyumba moja eneo la Santiago hatua iliyopelekea kukamatwa kwake.

Mshukiwa anatarajiwa kufikisha mahakamani.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *