#Local News

POLISI WANACHUNGUZA MAUAJI BAADA YA MWILI KUPATIKANA HUKO ATHI RIVER KAUNTI YA MACHAKOS

Polisi wanachunguza mshukiwa wa mauaji baada ya mwili wa mwanamke kupatikana kando ya barabara ya Athi River, kaunti ya Machakos.

Mwili wa Dolphine Nyamwamu, 30, umepatikana bila majeraha yoyote na umelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali moja eneo hilo ukisubiri uchunguzi.

Imetayarishwa na Janice Marete

POLISI WANACHUNGUZA MAUAJI BAADA YA MWILI KUPATIKANA HUKO ATHI RIVER KAUNTI YA MACHAKOS

AFRIKA KUANZA CHANJO YA MPOX NDANI YA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *