#Local News

KINDIKI AITETEA AZMA YA “SINGAPORE MPYA”

Naibu rais Kithure Kindiki ametetea azma ya Rais William Ruto kuifanya Kenya kuwa miongoni mwa mataifa yaliyostawi kiuchumi duniani, akisema Kenya inaweza kuafikia viwango vya Singapore.

Wakosoaji wamekuwa wakilinganisha ukubwa wa Kenya na taifa hilo la Asia, ambalo lina ukubwa wa kilomita mrava 735 pekee.

Hata hivyo, Kindiki amesema kuwa hilo halifai kutumiwa katika kutathmini uwezo wa Kenya.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KINDIKI AITETEA AZMA YA “SINGAPORE MPYA”

NTSA YAWAONYA MADEREVA KUHUSU ULAGHAI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *