#Local News

SERIKALI YA KENYA YAZUIA WAZIRI WA SOMALIA KUINGIA NCHINI

Waziri wa Somalia Abshir Bukari amenyimwa kibali cha kuingia kenya na kurudishwa Mogadishu .

Tukio hilo limetokea katika uwanja wa ndege wa jkia ambapo maafisa wa uhamiaji wanadaiwa kumzuia kuingia nchini kutokatana na maswali yanahusiana na passpoti ya kenya aliyokowa akitumia kusafiria.

Somalia imeitisha mazungumzo na balozi wa kenya nchini humo kutaka ufafanuzi kuhusu hatua ya kuwanyima raia wake ruhusa ya kuingia kenya.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *