WASHUKIWA 8 WAFIKISHWA MAHAKAMANI KISUMU KWA TUHUMA ZA VURUGU
Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino ameungana na Gavana wa Siaya James Orengo kwenye Mahakama ya Kisumu kuwatetea watu wanane wanaohusishwa na vurugu zilizotokea tarehe 12 Julai mjini Kisumu.
Inadaiwa watu hao wanane walikamatwa visivyo wakati walikuwa wakilinda wanachama wa vuguvugu la linda mwananchi katika hafla iliyohudhuriwa na Gavana wa Siaya James Orengo na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna.
Imetayarishwa na Hilda Ajema
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































