#Local News

SHA KUGHARAMIA WAHUDUMU WA AFYA

Serikali kuu na zile za kaunti zimekubaliana kuwalipia wahudumu wakujitolea wa afya malipo ya sha bila na kuwakata chochote kwenye malipo yao kuanzia mwaka ujao.

 kwa mujibu wa waziri wa afya Aden Duale, ngazi zote mbili za serikali zinatarajiwa kutoa  pesa nusu kwa nusu na kugharamia matibabu kamili ya wahudumu hawa wa afya wa nyanjani kwa mradi ambao utagharimu takriban shilingi milioni 9.

Imetayarishwa na Jones Koikai

SHA KUGHARAMIA WAHUDUMU WA AFYA

KENYA YAIBUKA BINGWA WA JUMLA MICHEZO YA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *