#Local News

OTUOMA AFIKA EACC KUHUSIANA NA UCHUNGUZI BUSIA

Gavana wa Busia Paul Otuoma amefika mbele ya Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kufuatia wito kuhusu uchunguzi unaoendelea katika serikali ya Kaunti ya Busia.

Otuoma alifika katika afisi za EACC Kanda ya Magharibi, Bungoma, ambapo ametakiwa kutoa taarifa kwa wachunguzi kufuatia madai ya ufisadi katika kaunti hiyo.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

OTUOMA AFIKA EACC KUHUSIANA NA UCHUNGUZI BUSIA

MCAs WA KIAMBU WADAI KUTISHIWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *