#Football #Sports

CHELSEA YAWALENGA HENDERSON NA WELBECK

Chelsea inawania kuwasajili Jordan Henderson na Danny Welbeck, huku wachezaji hao wakiripotiwa kuwa tayari kujiunga na klabu hiyo.

Jordan Henderson anatarajiwa kuondoka Brentford kama mchezaji huru, huku mazungumzo kati ya klabu yakiendelea kuhusu uhamisho wa Danny Welbeck.

Chelsea tayari imejadiliana masharti binafsi na wachezaji hao, na taarifa zinaonyesha kuwa hakuna kikwazo katika makubaliano yao ya binafsi.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *