#Local News

HAKUNA KUFICHA SURA, MAHAKAMA YAAMURU POLISI

Mahakama kuu imetoa amri ya kumwagiza Inspketa mkuu wa polisi kuhakikisha kwamba maafisa wa polisi wanaotumwa kuwashughulikia waandamanaji hawafichi nyuso zao mbali na kuhakikisha wanavalia sare zao zikionyesha majina na nambari zao za kazi.

Hii ni baada ya chama cha wansheria LSK kuwasilisha kesi mahakamani kikishikilia kwamba idara ya polisi inapanga njama ya kubuni kikosi cha siri.

Kulingana na Rais wa LSK Faith Odhiambo, maafisa wa polisi waliowajeruhi waandamanaji wanafaa kuwajibishwa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

HAKUNA KUFICHA SURA, MAHAKAMA YAAMURU POLISI

MWANGAZA KUCHUNGUZWA NA SENETI NZIMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *