#Local News

ODM, UDA HURU KUANZA MAZUNGUMZO

Vyama vya ODM na UDA vinatarajiwa muda wowote kukutana na kupanga mikakati ya ushirikiano wa kisiasa katika maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, baada ya kamati kuu za vyama hivyo kuidhinisha mazungumzo hayo.

Kamati kuu ya uongozi ya UDA ni ya hivi punde kuafikia uamuzi huo hapo jana na kumwidhinisha kinara wake ambaye ni Rais William Ruto kushiriki mazungumzo na ODM ambayo ilikutana wiki jana kaunti ya Kilifi kutoa uamuzi sawa chini ya kinara wake Oburu Oginga.

Kinachosubiriwa sasa ni hatma ya viongozi wa vyama hivyo akiwemo katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna ambao wamekuwa wakipinga ushirikiano huo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

ODM, UDA HURU KUANZA MAZUNGUMZO

WAGONJWA TAABANI NAIROBI

ODM, UDA HURU KUANZA MAZUNGUMZO

RUTO KUZINDUA NYOTA MACHAKOS

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *