#Football #Sports

TOTTENHAM WAENDELEA KUMWANIA SAVINHO

Tottenham Hotspur wanaendelea kumuweka Savinho kuwa lengo lao kuu katika dirisha la usajili, huku winga huyo wa Brazil akidaiwa kuwa tayari kujiunga na klabu hiyo

Ripoti zinaeleza kuwa Manchester City wanafahamu nia ya mchezaji huyo ya kuondoka, huku mazungumzo kuhusu uhamisho wake yakiendelea tangu mwezi Juni

Hatma ya dili hilo sasa inategemea msimamo wa Manchester City kuhusu kumruhusu Savinho kuondoka, wakati Tottenham ikiendelea kusukuma juhudi za kukamilisha usajili huo.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *