#Local News

GAVANA SAKAJA APUUZA MADAI YA KUBANDULIWA KWAKE

Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja amepuuzilia mbali madai ya kuwepo njama ya kumban dua mamlakani.

Sakaja anasema kuwa anaangazia kuwasilisha manifesto yake kwa wakaazi wa Nairobi na kwamba utawala wake unaendelea kuangazia malengo yake na hautaruhusu usumbufu kuingilia malengo yake.

Imetayarishwa na Janice Marete

GAVANA SAKAJA APUUZA MADAI YA KUBANDULIWA KWAKE

HATUPO KWENYE MASHINDANO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *