POLISI KAUNTI YA BARINGO WAMSAKA MSHUKIWA WA KUMBAKA BINTI YAKE
Visa vya ukatili dhidi ya watoto vinaendelea kuzua wasiwasi nchini, huku tukio jipya la Baringo likiongeza wito wa kuimarishwa kwa ulinzi wa watoto.
Polisi katika Kaunti ya Baringo wanamsaka mwanamume anayeshukiwa kumbaka na kumpa ujauzito binti yake ujana katika kijiji cha Kitibei.
Polisi wanaendelea na uchunguzi huku wakihimiza wananchi kutoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa mshukiwa huyo.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































