#Local News

POLISI KAUNTI YA BARINGO WAMSAKA MSHUKIWA WA KUMBAKA BINTI YAKE

Visa vya ukatili dhidi ya watoto vinaendelea kuzua wasiwasi nchini, huku tukio jipya la Baringo likiongeza wito wa kuimarishwa kwa ulinzi wa watoto.

Polisi katika Kaunti ya Baringo wanamsaka mwanamume anayeshukiwa kumbaka na kumpa ujauzito binti yake ujana katika kijiji cha Kitibei.

Polisi wanaendelea na uchunguzi huku wakihimiza wananchi kutoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa mshukiwa huyo.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *