#Local News

MSIHOFU KUHUSU MAFUTA, SERIKALI

Serikali imewahakikishia wakenya kwamba kuna hifadhi ya kutosha ya mafuta nchini licha ya kufungwa kwa eneo la bahari la usafirishaji wa mafuta la Hormuz katika eneo la Mashariki ya Kati, ikisema taifa lina akiba ya kutosha ya mafuta.

Kwa mujibu wa Waziri wa kawi Opiyo Wandayi, wananchi hawana sababu ya kuwa na wasiwasi na kwamba mfumo wa usambazaji wa mafuta uko imara.

Amezionya kampuni za mafuta dhidi ya kuficha bidhaa hiyo kwa lengo la kuuza kwa bei ghali baadaye.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *