#Local News

OYUU AWAONYA WANACHAMA WA KNUT

Huku uchaguzi wa muungano wa kutetea maslahi ya walimu KNUT ukikaribia, katibu mkuu wa muungano huo Collins Oyuu amewatahadharisha wananchama kuwa macho na wagombeaji anaodai wanalenga kuhujumu muungano huo.

Kwenye kampeni zake mjini Homa Bay, Oyuu amewahimiza wanachama wa KNUT kuwachagua viongozi walio na maono ya kuuendeleza muungano huo na utetezi wa wananchama wake.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

OYUU AWAONYA WANACHAMA WA KNUT

GACHAGUA ADAI SHA IKO MAGOTINI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *