#Local News

IEBC YAWAHIMIZA VIJANA KUSAJILIWA

Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC imesema inalenga kuwasajili wapiga kura wapya milioni 6.5 kabla ya uchaguzi mkuu ujao, tume hiyo ikihimiza ushirikiano miongoni mwa washikadau ili kuafikia lengo hilo.

Kwa mujibu wa mwenyekiti wa tume hiyo Erastus Ethekon, awamu ya kwanza ya zoezi la kitaifa lililoanza katika wadi zote hapo jana, inatarajiwa kukamilika tarehe 28 mwezi ujao.

Vijana wameendelea kuhimizana kujisajili kwa wingi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *