#Local News

WANAFUNZI KOTE NCHINI WAONYESHA UMAHIRI WAO KATIKA SOMO LA SAYANSI

Wanafunzi wameonyesha umahiri mkubwa katika masomo ya sayansi wakati wa mashindano ya kitaaluma yaliyolenga kukuza ubunifu na vipaji vya wanasayansi wachanga.

Mashindano hayo yamewakutanisha wanafunzi kutoka shule mbalimbali, wakionesha uelewa wa kina katika masomo ya fizikia, kemia na biolojia huku miradi hiyo ikionyesha ubunifu wa hali ya juu na uwezo wa kutumia maarifa ya darasani katika mazingira halisi.

Waandaaji wa mashindano hayo wamesema lengo kuu ni kuhamasisha ari ya kujifunza sayansi kwa vitendo na kuwajengea wanafunzi msingi imara wa taaluma za sayansi kwa siku zijazo.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

WANAFUNZI KOTE NCHINI WAONYESHA UMAHIRI WAO KATIKA SOMO LA SAYANSI

LEE  KINYANJUI AWASUTA VIONGOZI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *