MOH SALAH AJIUNGA NA TRABZONSPOR
Mohamed Salah amekamilisha uhamisho wake kwenda Klabu ya Trabzonspor baada ya klabu hiyo kuthibitisha kufikiwa kwa makubaliano ya kumsajili mshambuliaji huyo wa Misri.
Salah amejiunga na Trabzonspor kwa mkataba wa miaka miwili kama mchezaji huru, baada ya kuondoka katika Liverpool baada ya kumalizika kwa mkataba wake na klabu hiyo.
Uhamisho huo unafungua ukurasa mpya katika maisha ya soka ya nyota huyo, anayetarajiwa kuiongoza Trabzonspor katika kusaka ubingwa wa ligi nchini uturuki.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 



































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































