MESSI ATILIA SHAKA KUENDELEA NA SOKA BAADA YA KIFO CHA BABA YAKE
Nahodha wa Argentina Lionel Messi ameibua mashaka makubwa kuhusu kuendelea kwake na soka la kulipwa kufuatia kifo cha baba yake, Jorge Messi, aliyekuwa mshauri na mwakilishi wake kwa zaidi ya miongo miwili.
Messi mwenye umri wa miaka 39 amesema anapitia kipindi kigumu baada ya kumpoteza baba yake aliyefariki kufuatia kuugua kwa muda mfupi, akieleza kuwa hajui atawezaje kuendelea na maisha bila yeye.
Katika ujumbe wa majonzi, Messi amesema kifo hicho kimemfanya aanze kujiuliza iwapo ataendelea kucheza soka kwa muda mrefu, huku akisema maisha yake mengi yamejikita katika mchezo huo.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 



































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































