MAN CITY YAANZA MAZUNGUMZO YA KUMSAJILI PEDRO NETO
Manchester City imeanza mazungumzo ya awali kuhusu uwezekano wa kumsajili Pedro Neto, baada ya kuwasiliana moja kwa moja na wawakilishi wa mchezaji huyo.
Neto ametajwa kuwa miongoni mwa wachezaji wanaolengwa na City iwapo Savinho ataondoka kuelekea Tottenham Hotspur
Hatima ya uhamisho huo sasa inategemea msimamo wa klabu ya Chelsea kuhusu thamani watakayoweka kwa mchezaji huyo kabla ya mazungumzo kuendelea.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 



































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































