#Local News

RAIS RUTO AKIRI KUEKEZA ZAIDI KATIKA SEKTA YA MASOMO NCHINI

Ras William Ruto amesema kwamba serikali inawekeza kwa kiasi kikubwa katika sekta ya elimu ili kuhakikisha vijana wanakuwa na mustakabali bora.

Akizungumza katika shule ya sekondari ya Wavulana ya Moi Barracks huko Kamgut kaunti ya Uasin Gishu Rais   Ruto  amesema maendeleo ya nchi yanategemea watu  wake hivyo kuna haja ya kuimarisha sekta ya elimu.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

RAIS RUTO AKIRI KUEKEZA ZAIDI KATIKA SEKTA YA MASOMO NCHINI

 MOTO WATEKETEZA MAJENGO KANGEMI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *