#Local News

OBURU AWASUTA WANACHAMA WA ODM WANAOTILIA SHANGA BROADBASED

Kiongozi wa chama cha ODM Oburu Oginga amewataka wanachama wa chama hicho wanaotilia shaka ushirikiano wa chama hicho na serikali kuondoka badala ya kubaki ndani ya chama.

Amesema chama hicho kimefanya uamuzi wa kushirikiana na serikali kwa kuzingatia maslahi ya taifa akiwataka viongozi wenye misimamo tofauti kuamua wazi iwapo wataendelea kuwa wanachama wa ODM au la.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *