#Local News

WAJUMBE WA ODM WAKUTANA  NAIROBI

Zaidi ya wajumbe 200 wa Chama cha ODM wamekutana jijini Nairobi katika juhudi za kuimarisha chama hicho kwa kuwapokea wanachama wapya.

Viongozi hao wa ODM wamesema hatua hiyo inalenga kupanua wigo wa chama na kuongeza nguvu yake katika maeneo mbalimbali huku wakijiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao.

Mkutano huo pia unalenga kuwahamasisha wanachama kushiriki kikamilifu katika shughuli za chama na kuimarisha mikakati ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

WAJUMBE WA ODM WAKUTANA  NAIROBI

WAJUMBE WA ODM WAKUTANA  NAIROBI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *