WIZARA YA ELIMU YASISITIZA MPITO WA JSS UPO SAWA
Waziri wa Elimu Julius Ogamba na RaiS William Ruto wamesisitiza kuwa mpito wa wanafunzi wa gredi ya kumi imefikia asilimia 99 kinyume na takwimu kubaini kua kiwango cha wanafunzi waliojiunga na gredi hiyo ni cha chini
Akizungumza mjini Naivasha Ruto ametaja umuhimu wa wazazi kulipa karo kupitia mfumo wa E-Citizen ili kuzuia ufujaji wa pesa.
Imetayarishwa na Hilda Ajema
English 




















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































